Popote pale unapofanyia kazi ndio ofisi yako
unapaswa kupapenda na kupaheshimu hasa kimavazi.
Ni vema basi kwa wale wanaofanya kazi maofisini
wajue jinsi ya kuvaa wawapo maofisini tofauti na mtoko mwingine.
Mavazi yako uwapo sehemu ya kazi ni muhimu
kukuwakilisha sehemu husika ulipo
Ni muhimu na heshima kama ;sememu yako ya kazi
utaipa kipaumbele kwa kuvaa mavazi yenye hadhi ya sehemu husika