Unaweza kutengeneza nyusi zako na kuzifanya
zionekane katika mwonekano wa kupendeza zaidi.kwa kuzichonga katika mpangilio unaofaa na kuzipaka wanja ili
kuwa katika mwonekano wa kuvutia zaidi.
Nyusi huongeza mvuto hasa kwa mwanamke pale
zinapokuwa zinatengenezwa mara kwa mara na kuwekwa katika mpangilio unaofaa.
Kuna aina mbalimbali za upakaji wanja hii inategemea
ni jinsi gani umezichonga nyusi zako. Unaweza kupaka ukianzia kwa upana kwenda
wembamba au wembamba kote au nene kote inategemea pia na jinsi unavyopendelea
Suala la utengenezaji nyusi ni bora kuzingatiwa kwa
kuwa linaongeza mvuto kwa wanawake
No comments:
Post a Comment