Kuwa maridadi ni sifa
ya kila binadamu aliye kamilika, anayejipenda na kuijua dhamani ya mwili wake. Ila
pia unaweza kuongeza mvuto wa mwonekano wako na kuonekana maridadi zaidi kwa kuvalia cheni katika shingo yako.
Hii husaidia pia
shingo kukaa vizuri na kujisikia umaridadadi zaidi.
Kila mtu huwa na aina tofauti tofauti ya cheni
anayopendelea, hii inatokana na jinsi ya mpangilio wako wa uvaaji kwani kuna
wengine hupendelea cheni kubwa, wengine saizi ya kawaida na wengine ndogo
kabisa.
Ni vizuri kuzoesha shingo yako kuvaa cheni kwani inakufanya uonekane maridadi na nadhifu zaidi
No comments:
Post a Comment