Saturday 28 February 2015

Namna Ya Uvaaji Kwenye Mitoko Yako



Kila  siku watu tuna namna tofauti ya uvaaji, kila kukicha tunagundua aina tofauti za uvaji kwa upande wa wanaume na wanawake . inapendeza sana kama kila mtu akijua namna ya kupangilia uvaaji wake ili awe na mwonekano mzuri katika mazingira yanayomzunguka,.

Kila mtu anaweza kupendeza iwapo atajua namna ya kujipangilia wakati wa uvaaji wake.

Mpangilio mzuri kimavazi humfanya mtu kuwa kivutio katika jamii  na kufanya baadhi ya watu kutamani kuonekana kama wewe.

Thursday 26 February 2015

Namna Uchanaji wa Nywele unavyoonyesha tabia yako



Kuchana Nywele ni kazi ya kila siku kwa kila mmoja wetu. Hapa namaanisha awe mtoto au mwanamke au mwanamume, suala la kuchana nywele ni jambo jema kwa wale wanaopenda kuwa na nywele.

Baadhi ya watu hapa ulimwenguni wamekuwa na aina fulani ya uchanaji wa nywele maisha yao yote hata imekuwa kila mtu anazaliwa hususani kizazi cha vijana kinachochipukia hufikia mahali pa kuiga mitindo hiyo ya uchanaji nywele.

Uchanaji wako wa nywele una uhusiano wa karibu ni kile unachokifanya kila kunapokucha.

Hivyo basi kuna umuhimu wa kuwa na mtindo wako  wa uchanaji wa nywele zako.

Namna ya Kubana Nywele za Rasta




Kina dada  wengi  wanapenda kusuka nywele za rasta, nisiwe mchoyo  hebu tazama jinsi ya kubana mitindo mbalimbali ya rasta na kuonekana mpya na wa kisasa, kila inapoitwa leo.

Wednesday 25 February 2015

What is Fashion?



Fashion is a popular style or practice, especially in clothing, footwear, accessories, makeup, body piercing, or furniture. Fashion is a distinctive and often habitual trend in the style in which a person dresses. It is the prevailing styles in behaviour and the newest creations of textile designers