Wednesday 11 March 2015










VITENGE NA USHONAJI WAKE 

Kitenge ni vazi zuri, linalopendwa sana na watu wa jinsia zote.  Na kumekuwa na mitindo mingi ya tofautitofauti ya ushonaji wa kitenge  inayoweza kuwapendeza watu wengi. 

Hapa tunaweza kuona jinsi kitenge kinavyoweza kufanyiwa ubunifu wa hali ya juu na kuweza kuwapendeza watu wote wakiwemo wanaume na wanawake.

Pia ni vazi la kuaminika na ukivaa unaonekana katika mtazamo mwingine wa kupendeza na kung’aa zaidi. hivyo basi kitenge ni vazi zuri la Kiafrika linalokufanya kuwa kivutio machoni pa watu.

No comments:

Post a Comment